Heri ya Mwaka 2012 na kwako, Mwanamke wa shoka. Nakutakia nawasomaji wako maendeleo ya uzuri wenu, Watoto waMungu.
Moyo unanidunda kila nikiangalia picha zenu! Muzidi tu kupendeza lakini chungeni sana afya zenu na upendo kama Baba yetu alivyotutaka tupendane hata Mwakani huu wa 2012!
7 comments:
Asante, Mdogo Wetu! Na, asante sana!
Heri ya Mwaka 2012 na kwako, Mwanamke wa shoka. Nakutakia nawasomaji wako maendeleo ya uzuri wenu, Watoto waMungu.
Moyo unanidunda kila nikiangalia picha zenu! Muzidi tu kupendeza lakini chungeni sana afya zenu na upendo kama Baba yetu alivyotutaka tupendane hata Mwakani huu wa 2012!
Na kwako pia
Nadhani sijachelewa KHERI SANA KWA MWAKA MPYA NAWE NA FAMILIA PIA.
heri ya mwaka mpya da Mija
aikamayo
Heri ya mwaka mpya na wewe pia
Post a Comment