31 December 2011

Heri ya mwaka mpya....

Wadau wangu ninawatakia heri ya mwaka mpya....2012.

Neno langu la kuumalizia na kuuanzia mwaka ni PENYE NIA PANA NJIA.... hivyo tukaze buti!!

Da' Mija.

28 December 2011

Neno la leo..

Don't let anybody tell you that,

You have to be a certain way.

Be unique. Be what you feel.

Melissa Etheridge

23 December 2011

Neno la leo..

It is no sin to attempt and fail.

The only sin is not to make the attempt.

Suellen Fried.

Wadau mpo hapo?

22 December 2011

Mwaka huu nitaumalizia kwa kuwapa maneno ya kutia moyo... (Inspiring words)

Inasemekana kwamba jinsi unavyoimaliza siku ndivyo utakavyoianza, maana kumaliza na kuanza vimepangana. Hivyo basi tukiwa katika lala salama ya kuumaliza mwaka 2011, nimeona ni vyema tuumalize kwa kupeana maneno ya kujenga ili tuweze kuuanza mwaka 2012 kwa nguvu hiyo hiyo, NGUVU CHANYA.

Na leo tuanze na Mwanamama Oprah Winfrey... anasema,

Let your light shine.

Shine within you,

so that it can shine on someone else..

Let your light shine...

Siku njema wadau.

21 December 2011

Mafuriko Dar es Salaam... Tuwakumbuke katika Maombi.

Wimbo wa kumalizia Mwaka..



Binafsi yangu ningependa Mungu anisaidie kunipa UPENDO wa kweli, upendo aliokuwa nao bwana wetu Yesu.

Je mdau ungependa muujiza gani Mungu akufanyie?

Siku njema wote na mbarikiwe sana.

16 December 2011

Neno la ijumaa..

... Mdau kumbuka kwamba,

You can have anything you want,
if you want it desperately enough.

You must want it with an exuberance that erupts
through the skin and joins, the energy that created the WORLD.

By Sheila Graham.

08 December 2011

Picha ya Siku..!!

...Kutoka kushoto ni Asiimwe Rugemamu, Isaac Ismail na Mija Manju. Picha zimepigwa septemba mwaka huu 2011.

Je mdau unadhani picha ni muhimu kwa kumbukumbu au hazina ulazima sana?

Siku njema wadau.

05 December 2011

Ninamlaumu Mzazi!!!

Wadau eti ni kwa kiwango gani mzazi anawajibika katika maisha ya mtoto?

Jumatatu njema na abarikiwe kila atakayepitia hapa.