21 February 2012

Happy Birthday My Lovely Daughter Mija.... You are 10 Today!!


9 comments:

Angie said...

What a beauty.. Happy birthday Mija..x

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku Mija mdogo na mwenyezi Mungu akulindea uwe mwenye busara na hekima. HONGERA SANA KWA SIKU HII PAMOJA NA MWENZAKO CAMILLA AMBAYE NI BINTI YANGU.

sam mbogo said...

Watoto wana kua sasa hivi utapata wakwe dada yangu! haya namtakia kila lakheri mjomba mija. haya nawewe mama mtu hongera sana,kwa kumfikisha hapo. nawatakieni amani na utulive katika pilikapilika za maisha. kaka s

Anonymous said...

Wow! Miaka 10 sio mchezo, hongera Mija! Stay Blessed!

emu-three said...

HAPPY BIRTHDAY MIJA....MUNU AWAPE BARAKA NA AFYA TELE

Rachel siwa Isaac said...

Hongera da'Mija!Mungu akulinde na kukutunza kila iitwapo Leo,Hongereni wazazi Mungu awabariki katika malezi yenu!!!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Tuseme nini la ziada, Jamaani!?

Vema! Hawa watoto wanakua haraka sana. Inaelekea hata huko shuleni gredi zinapanda kimchakamchaka hivyohivyo!

Hongera sana, Mjomba!

Ester Ulaya said...

Hongera ya siku ya Kuzaliwa totooooo, ukue vizuri eee, uheshimu wazazi na usome kwa bidiiiiiiiii

Anonymous said...

Mayowane,

Taimu inakimbia siyo mchezo. Nomuhe Mija mahongera mengi toka kwa Guku.

Nene Guku.