Nimeipenda kazi ya mikono yako na natamani angalao ningependa kakipande kidogo tu...Kwa kweli mikono ina kazi kubwa sana tulio na mikono tumshukuru Mungu na tuifanyie kazi.Halafu Mija nilelipenda GAUNI lako umetoka chicha mdada.
Hongera kazi nzuri da'Mija mwanamke washoka!!
Poa sana!
Truly mouth watering awesomemtundu.....
@Yasinta kama umeipenda nguo niletee vipimo vyako Uk na swid si mbali..@Rachel asante sana madame.@Simon tupo pamoja@Mtundu..punguza utundu kidogo jamani..and thanks for passing by.Wote asanteni sana kwa kunitembelea,Pamoja daima.
Kazi nzuri, mikono yako inalipa...
Post a Comment
6 comments:
Nimeipenda kazi ya mikono yako na natamani angalao ningependa kakipande kidogo tu...Kwa kweli mikono ina kazi kubwa sana tulio na mikono tumshukuru Mungu na tuifanyie kazi.
Halafu Mija nilelipenda GAUNI lako umetoka chicha mdada.
Hongera kazi nzuri da'Mija mwanamke washoka!!
Poa sana!
Truly mouth watering awesome
mtundu.....
@Yasinta kama umeipenda nguo niletee vipimo vyako Uk na swid si mbali..
@Rachel asante sana madame.
@Simon tupo pamoja
@Mtundu..punguza utundu kidogo jamani..and thanks for passing by.
Wote asanteni sana kwa kunitembelea,
Pamoja daima.
Kazi nzuri, mikono yako inalipa...
Post a Comment